Kuna hii biz ya kuuza fried parts za kuku, please let me know uko county gani na demand ikoje ya hii biz huko,iko na doh fiti sana