Kuna hii biz ya kuuza slides, dolls, mules, boots etc, so far sijaona wholesaler or retailers wa hii biz huku MESH, ama kunaye atuchapie more about hii biz na how to source stock and how to run this type of biz. Anyone please?

0