
Kuna hii day nmepata form poa actually nilikuwa kwa Sacco fulani saa ilikuwa nime apply loan nimefill in details zangu ilikuwa kitu 127k now kufika final stages mimi nmetegea mihela ilikuwa naenda kubuy kaplot fulani mahali..then nikaitwa kudhani ni pesa napewa nilisikianga tu unfortunately you are listed on CRB I was like what a.....juu sijai kopa doh nikakosa kulipa .......kufwatilia napata eti nilikopa 15k nashangaa aje? Lini? Naenda home nimejam baadae kufwatilia vizuri kumbe ni bro alifanya hii ngori yote na hakuwahi niambia😩si ilibidi hio deal ya plot inipite tu hivo at that time😏
0
0
0