
Kuna hii Fulani ukiwa na mpesa Mahali wasee Wanakam wanadai kuwithdraw ama kudeposit some good amount , wanakuchanganya hapo na instructions kwa sim yako ukishtukia washaa kutoka float yote kwa iyo phone, kuwa rada incase msee anakaa suspicious kwa shop yako ama anakushow instructions za mpesa hauko familiar nazo wee kadhaa heri , stay informed always reach to customer care incase hauko sure na kitu ,
0
0
0