
Kuna hii gumzo flani ilikuwa ina trend jana, #KenyaTrends number 1, driven na DJ Boyie. Kuna issue kadhaa niliona zimekuwa raised. Like Gava kuto kuwa involved na biz za ma youths and high cost of living yenye ime drive hadi wasee wengi ku close biz.
And its true kuna policies kibau ambazo from gava zina affect biz zetu mbaya. Like saa hizi introduction ya kitu kama duty taxes zime raise hadi ile quick credits; likes ya Fuliza. Sio tu from national government hadi pia local government ime impose higher fees za ku access vitu kaa license. Instance ni like kwa bjz yangu, 4 years license ya shop ya Mtito was 3k, saa hizi nalipa 6,400 almost 50% increase, and sadly kuna services kadhaa hauwezi pass down hizi extra charges juu utaliose trust na clients.
So unapata hadi sasa profit margin yako imego down mbaya. Post Rona and environment ya kurun biz mwanzo hizi SME zenye most youths tuko inaendelea kukuwa hard. Hapa ni hope 2.
#Biz101 #ShujaazBiz #YoutNaGava #YouthsKwaBiz