Kuna hii hustle ya day care juu most of parents are busy all day na house girls wamekuwa shida. Msee anahitaji capital ya how much kuanza?, na possible challenges pia.