
Kuna hii issue ya depression MESHers, ma yout wana face depression sana na kitu najua inachangia ni kuwa financially instable. Unapata yout ameanza biz haishiki haraka vile alikuwa anadhani itashika anagive up..... In short me naweza sema tusikufe na depression ju unacheki beste yako amemake it na wewe bado, ongeaa tusaidiane sisi wote kuna kitu tunapitia au niaje meshers
0
0
0