
Kuna hii kazi ya kukua chauffeur wa gikomba , who knows about it? As in kama wewe ni msee anajua mashimo za kupata Mali kalikali gikomba then you take clients around showing them the place , it's a nice job kama unajua gikosh poa you can try it out
0
0
0