
Kuna hii loan app nliwai chukua loan kutoka kwao back then nkiwa college, izi pesa nlizichezea mwishowe nikashindwa kuzilipa na Nikawekwa kwa CRB. They kept calling me, sending me messages na pia wakaanza kupigia watu walikuwa kwa contact list yangu 😂😂 After 2 years they called me saying we meet pale kotini at a certain date na nisikose bold enough iyo given date nikaenda kotini, they never came. Finally I paid my loan in full. #CRBStories
0
0
0