
Kuna hii new Trends ya Wakulima; Digital Marketing/Kilimo!
Wasee wanashoot videos wakishowcase farming and nimecheck kadhaa wanaget deals fiti. Good example Farm With Fred na Mr Agriculture.
Je, umewahi jaribu or is it something unaeza venture in?
0
0
0