
Kuna hii post ya Lucas check the link https://meshlife.page.link/... Na since Wasee wengi hununua electronics Luthuli Avenue me included😂Nataka kuwashauri msaidike.Kuna wizi mwingi huko! Tips za Kujilinda:
- Usikubali Deals za street: Don't fall for random deals from watu hujui, usikubali kuingia kwa duka ya mtu ambaye hajajulikana.
- Check Product: Kabla ya kulipa, hakikisha una-test gadget vizuri. Usikimbilie tu.
- Dai Receipt na Warranty: Hii ni muhimu. Usinunue bila proof.
- Nunua kwa Duka inakaa Established: Ni bora kuchukua muda na kujua duka legit.
- Usikubali place wanasema Cash tu: Daima ujiulize, mbona hawataki card?
0
0
0