
Kuna hii side hustle nacheck wasee wame venture in; AirBnB. Mimi nili join the other day and nacheck iko na potential, mwanzo kwa wasee wako campo, unijipiga exile frequently ndio but unaeza get doo inaeza kuchapia ka upkeep and ku survive shule. Mwenye ako kwa hii gig ebu tuchapiene hapo kwa comments section zile dangers, challenges, advantages umeface.
0
0
0