logo

Kuna hii story nilicheck jana on TikTok.

Madam anahook up wasee na suppliers wa bales wenye wako located in the US kuget "US creme bales" but as per her say, lazima wakuwe watu once 100 wameshikana pamoja ndio shipping hizi bales ikuwe rahisi! Hesabu ya bales plus shipping fee inakuwa roughly 20k na bales zenyewe zikona clady safi kabisa!

Nani Yuko kwa hii field ashawahi sikia hii story tuchapiane vile ku' uenda?

https://vm.tiktok.com/ZM6Lt...