
Kuna hii story ya wasee kuhack WhatsApp ya mtu na profile picture yake then they spread some messages wakidai certain amount wakisema ni emergency kitambo the owner alirealise unapata wasee washatuma that's too bad people should be keen my friends have experienced that in much incidents and also I was once in a such but nilikua radar.. So members be keen na hizo scams na pia hizi za promotions yet hujaperform any......
0
0
0