
Kuna hii tabia iko kwa Nissan za long distances kukwambia iko almost kujaa kumbe watu wako ndani ni wao pia.unaingia ukijua uko almost kutoka then unaona watu wanashuka kupeana space 🤣🤣kumbe utakaa for other 2-3 hours ndio ijae 🙆 remember you have already paid. What's your story on that?

0
0
0