Kuna hiii story ya challenges za biashara asubuhi, imagine unafungia msee mandazi vizuri alafu boooom, anakutolea noti ya 1k na saio hauna change, what can you do and how do you take that or solve that issue, do you always have plan B?

0