Kuna hustle moja iko na doo sana. Unaeza idunga ata mtaani kwenu shags ama kama uko na place tao pia,ni fish pond,majama hiyo kitu iko na do mbaya believe me,fish ina mature after six month na iko na ready market.
0