
Kuna hustle moja tamu sana. Enda kwa fundi, unda ile sanduku ya kuuza sweets, saka 5k enda kwa wholesale ya wahindi,chukua sweets wholesale, chukua biscuits, chukua kalamu na both pencil na back,saka mabuyu, weka crips, piga biz..kuna pesa fiti hapo...alafu ukuwe consistence na ukuwe na mdomo tamu,mkenya autadoz njaa na utalipa keja,siyo lazima uanze kubwa.
0
0
0