
Kuna huyu dame amepost TikTok na anatrend. Aliorder dress na ni kama fundi alifanya ile kitu. Mimi kama msee wa biz najua mistakes huweza kuhappen. What’s the best way to resolve such?
Na tusiseme urudishe pesa kwa client juu pia fundi ameincur cost na pia client hataki kuskia sorry. Sorry hatavaa kwa harusi

0
0
0