
Kuna idea Fulani.. Kuna hizi lollipop za 10 bob . Since si kila msee anaeza kuwa na kitu ya kubuy kahawa na samosa but anaeza kuwa na that 10 bob ya lollipop, Mimi ni fan wa football so nikibuy lollipop kama mbili zinaeza Nikeep busy Hadi game iishee. Secondly , Kuna junguu karangaa, packed into 10s and 20s .#MESHChallange
0
0
0