
Kuna idea hapa.. kuna place uko ocha ndani.. barabars poa. But uko ndani vitunguu na nyanya na pilipili hoho zinamea poa. Probox zinaenda poa tu . So uko kitungui ya 20000 zikifika uko ni 50000. So maximum unaeza tumia kama expenses ni 10k. So 20gs zinakubakia kama profit.
0
0
0