
Kuna idea ya bottled water then you diversifying na ice pops. Challenge ni plastics issue ya kucause pollution but unaweza volunteer kusafisha grao after the match. Also, ice boxes unaweza pata easily juu kuna wase wanapea wase commission after kuuza ice pops na bottled water yao. Hivi unaweza pata starting capital alafu utalearn biz yenyewe ndo ulete yako.
Pia food ni kitu inasell na wase wako grao, uza mayai, smokie na chapo. Utahitaji food handling certificate but hii ni kitu affordable na worth it kukuwa nayo.
Entrepreneur enthusiastic.
0
0
0