Kuna jamaa tulipatana naye huku alikuwa anaulizia place ya kununua mtumba. So ikabidi nichukue number yake juu nilikuwa nasupply mtumba na wholesale... Upto now i am his biggest supplier