Kuna job zingine ukiwa msee wa kujam huwezi zifanya kabisa. 😂
Come to think of it, hawa huuza nguo ama viatu... customer anaingia, anapima dresses tano ama viatu sita, anaangalia kwa mirror kila angle, halafu mwisho anasema, "Hazijanibamba... nitakuja kesho." 😂 Na huyo ni customer mmoja tu! Sasa by jioni? ðŸ˜
Halafu kuna hustle ya kuuza avocado 🥑. Mpaka imeandikwa "USIFINYE" juu Wakenya watafinya moja moja hadi ziive vibaya. 😅
Kama wewe ni wa kukasirika utajipata ukisema, "Si lazima ununue bana!" 😂
Meshers, mshawahi kuwa kwa hizi biashara? Mna-handle aje customers wa aina hii? 😂
0
0
0