
Kuna kampuni moja ilikuwa auctioned juzi na ma-goons wakatumwa kuterrorise mwenyewe. He literally had to run for his life. As we speak, gari zake zote na machinery zilibebwa.
Is Kenya slowly becoming a state where goons are on stand by for hire?
Kuna njia nyingi za ku-address debt kama small-claims court. Je, is violence the answer?
0
0
0