Kuna kitu inaitwa "timing" lazima ujue when to strike and when to wait ,sasa tuko msimu wa baridi what do you think unaweza do upate doo ? Nakunywa kachai apa base boy ameniuzia anamake faida ya 10 bob kila cup anauza ,kunabaridisana leo tuseme auze cups 50 atakua na faida ya 500/punch within one hour or less ....hustle ni tamu watu wangu
0
0
0