
Kuna life ya online na kuna reality ya mtaa.
Kwa IG: msee ako Dubai
Kwa ground: anaomba fare ya 100
Kwa TikTok: vibes on vibes
Kwa nyumba: stress, kulala njaa, fights
Usipotee kwa hype. Reality ni different. Ushawahi kudanganywa na online lifestyle
0
0
0