
Kuna maboy wawili wa campus walikuwa mesh Konnect. Byron Osomo na Johnson. Hao wawili walinipea morale sana. Niliwacheki Konnect. Wako uni lakini wako na side hustles hapa na pale za kujilipia fees na pocke. Singeamini maboy young kama hawa wangekua mentors wangu. This is why napenda mesh sana
0
0
0