Kuna mahali nimeona kenyan youth anaamka asubuhi, anasali, anakunywa strong tea, then anageuza pikipiki yake kuwa mobile ATM. 😂
After completing five delivery assignments across Nairobi, anaenda home na KSh 6,800 kwa siku!
Tukifanya hesabu ya haraka, that's approximately KSh 204,000 monthly and a projected KSh 2.4 million annually, assuming anapata kazi daily.
Waah, guys, kuna venye mnakula poa huku nje! 😂😂 Si hii ni salary ya MD flani?
Lakini swali ni moja: Hii ni gross ama net profit baada ya kutoa fuel, maintenance na expenses zingine?
Meshers, who said opportunities lazima zikue za kuajiriwa?
0
0
0