
kuna many seasonal job opportunities kwa market saa hii.
moja inaeza kusaidia kama fruit vendor ni blwnding juices haswaa coz saa hii most available fruit ni oranges na ovacado so ziko somehow cheap.
Things unaneed ni chache for example.
1.blender 2. tumblers za kuuzia blended juice na may be straws
- place ya kupata stock ya fruits cheaply.
4.jugs kama mbili.
0
0
0