Kuna mesher alinichanua nikue nikieka price list ya kazi mi hufanya. Ndio hii hapa leo nimeng'ang'ana kucreate hii on Canvas. Najua haiko that perfect but for a first time I guess nimejaribu sanaš¤