
Kuna mesher ameuliza swali fiti ya ideal herbicides; https://meshlife.page.link/...
But ni time ama instances gani sio fiti ku-use herbicides? And apart from the kawa manual removal, kuna other ways za ku control weed kwa farm?
Share kwa comment section wakulima tujifunze.
Image; AI

0
0
0