Kuna motion ya ku-introduce number plates za mkokoteni, trolleys in Nairobi kama unafanya hustle yako na any of them.
Wanadai itakua free lakini.
Is this a good idea? Weka maoni kwa comments.