
Kuna mse utaskia amesota akiwa na 10k, mwingine 1k na mwingine hata kapeni hakuna, ni kusurvive na mikopo- hapo tuko wengi😂
Leo ikiwa inspiration Tuesday, uko inspired kusave ama kuspend doo ukonayo kwa kitu unaweza uza baadae in case of emergency?

0
0
0