
kuna msee hufanya biz ya hiking hapa MESH? naona hizo zimeshika sana especially for weekends, everyone wants to go on a hike na huwa wanamake margins poa, huwa wanatoa calender ya event like 3 months before and people start booking, example najua sana ni hawa hujiita outdoorer kenya, ata wameanzisha another biz ya kuuza hiking gears - https://www.instagram.com/o...
0
0
0