
Kuna msee huingia kwa gari ama matatu anaskiza Ile music system Iko ndani anasema siku moja nitafunga music system kama hii kwa nyumba but haujui venye unaeza acquire such music system at an affordable price Niko na solution SI lazima ununue mpya coz itakuwa kinda expensive Kuna vitu second but Mali safi unaeza para na bei poa na pia unaeza nunua kitu Moja at a time kulingana na venye umejipanga nipigie simu nikushow venye utapata hizo vitu at an affordable price na pia naeza kukufungia kejani ujinice nimtafute kwa 0745492885 ama pia unaeza Kam kwa shop uskize venye hiyo music system inagonga najua itakunice hayuko mbali na thika road ukifika roysambu roundabout ingia na njia ya kwenda mwiki ukifika she'll petrol station piga simu tuko karibu na hapo let's have fun ka Bado tuko uhai
