
Kuna mtu aliiza what does Mesh mean
Generally inarefer to a network of interconnected strands creating a pattern kama ile wiremesh.
Sasa this MESH inaconnect young entrepreneurship to peers, information na resources kuwa-empower wajenge biz zao
The best business tips nimekua nkiget through mesh na zimenisaidia kupunguza risks or just learning about how several businesses work. #Mesh
0
0
0