Kuna njia kadhaa za ku-grow profits kwa biz ukisha anza ku-save. Jichanue na zile best hapa. Ongezea pia zile unajua kwa comments tuelimishane. #shujaazbiz