Kuna post nimeweka na nimerealize sikuweka locationlocation na contact. Niko Voi na phone 0746275894. Ilikuwa ikisema jana nilianza hustle ya kuuza popcorn na sina machine natumia gas na vile imepanda. So kama naeza get hata ya kukodisha nitashukuru ama ya malipo polepole
0
0
0