
🆕 Kuna post ume-cheki hapa MESH na ungependa ku-share na watu wako?! 🤔 Sahii unaeza share posts kali directly from MESH to any other platform in two simple steps!
Step one! ⏩ Click hapo kwa menu button on any post you like. Step two! ⏩ Click hapo kwa share, alafu share on any platform you want!
Ndio hiyo form! Share content ya kujengana 💪

0
0
0