
Kuna reason kadhaa why kabla ya kuanza ukulima you need to do soil testing. Juu hii ndio itakusaidia kujua; pH level, texture, nutrient content na texture ya soil, yenye inasaaidia mkulima kumake decision fiti ya fertilizer, type ya crop na vile unaeza fanya soil management.
Soil testing ina cost between Ksh 1500 and Ksh 5000 per sample of your soil. In my case through Wanda, wali'collect the soil sample from different spots within the farm ndio kupata accurate data.
Kuna several accredited firm zinafanya soil testing, Mimi niliwork na KENAS; highly recommended. https://www.kenas.go.ke/
Unajua other great firm? Please share nasi kwa comment section kwa wale wakulima wanadai their services.

0
0
0