Kuna scam hua unaambiwa ujoin ndo upewe high returns on investment utaweka alafu wanachukua pesa za early investors kulipa ao wengine instead ya kukuinvestia io Doo yako update returns kubwa