Kuna shida imekua ikinisumbua na Eneza biz loans kila time nataka kulipa ni either 'Service not available at the moment' ama 'your ID number is invalid...' Please help