
"Kuna shughli inahitajigi mbogi..."
Na AgriBiz Group ni ya home ya ile mbogi ya wakulima. Kama wewe ni mkulima ama uko na aspiration ya ukulima make sure ume tu-join leo.
One of our most activate member; Thomas Wafula, ako na red sweet potatoes bie, hook him up na clients. Link to post yake ndio hii 👇👇👇
https://meshlife.page.link/...

0
0
0