Kuna siku nilijaribu kuwa health conscious nikaorder salad kwa restaurant fancy, waiter akaleta kitu inakaa nyasi. Nikajaribu kukula na heshima, mdomo nayo inakataa cooperation kabisa. Table ya pili walikuwa wanakula nyama choma wananiangalia na huruma as if mi ni mgonjwa. Nairobi imenionyesha mambo jameni. Uzuri najua hapa kuna mtu anajua vizuri salad ni nini na types of salad aseme
0
0
0