Kuna siku nilikuwa na stock ya accessories mob, nikathink nitapata wasee wa kutosha wa ku-buy haraka. Sasa kuna jamaa mmoja alikuwa regular customer, akaingia na aka-buy kama ka kawaida. Later that day, akanirudia na ka ploti. Akasema, "Bro, hizi earphones zako ni fire, kuna shop nataka uni-supply weekly." Nikashangaa kidogo, lakini vile alikuwa legit na ana maduka mbili za simu, nikaona ni chance.
Fast forward, huyo jamaa ndo sasa supplier wangu mkali, ananiweka busy na orders kila week. Lesson nililearn ni ku-treat kila customer kama investment, hujui wapi opportunity iko. Sasa mtaa inanijua kama plug ya accessories original. 🏆
0
0
0