
Kuna this genre of Music called Benga. Hukua underrated sijui mbona. Nimekua nikijiuliza why and venye iko na so many listeners.
Ama ni venye the music haikui available in different formats? Ama the marketing and promotion efforts za the artists ziko down? Ama nj wasee hawana exposure or awareness.
So msee wa Benga music ama uko na talent ya Benga music unafaa kufanya aje? Niko na few suggestions. Ukue na good marketing skills, ukue na a good online presence, alafu seek out opportunities to perform kwa events and clubs, network, network and Network!. Alafu usikose persistence.
Then quality pia. Those dancers in Benga music huchoma sana bana.😹

0
0
0