
Kuna time nilikua nafanya kwa shop MPESA, wasee fulani wakakam na products zingine hapo wakisema hizo bidhaa zinauza poa na naweza make doh poa kuziuza. Walikua wanasema uki-stick kwa phone inaboost network ya phone na battery pia haiendi sana. Mimi na akili ya biz nikabuy za 8k ya biashara nikipiga hesabu zangu nikijiambia nikiuza hizo ntakua na 8k yangu clean na mwenye shop namrudishia yake 8k. Hadi anakol wenzake akijifanya ni watu ndio wana-order wengi. Hivyo ndio 8k ilienda vi-simple kabisa na nikajifunza ukiwa kwa biz usiingilie hizi biashara za wash wash, utaoshwa visafi
0
0
0