
Kuna time nilikuwa down sana 😢 na ilikuwa almost end month so mm 😋 kupitia pitia pale telegram napata kuna msee ameonyesha vile anaweza fanya fulizaa itoke 0 hadi 30000 I was so exited na nikaona vile shida zangu zinaisha .mm huyo huyo nikamdm na nikamshow naitaji nn ndio hiyo story ifanyike Akaniambia na number to na 150 shillings activation fee nikasend hiyo pesa...after ashore while akatext akaniambia sasa iko on the process na kuna msee wa safaricom pia yeye alikuwa akule ndio deal igo through so alikuwa atumiwe 250 nikasend tena after a while akaniambia kuna msee mwingine anafaa akule 350 wa mwisho ndio pesa ireflect nikasend na hivyo ndio nilisota na sikupata hata shillingi huyo msee akaniblock time aligundua sina pesa ingine ya kusend...since then nikajua when the deal is too good manze chunguzaa ama think twice...scams ziko kila cona