
Kuna times business ushika but umeshikanq kiasi may be uko na other errands to run so inabidi uemploy mtu kwa bizna yako .. Mostly these upata hasa watu wa shops .. What do you need to consider before employing one.
1.income of the business .at least unapata kama yuko nado unapata intrest unataka ama profit unadai
2.knowledge of the person involving the bizna eg huezi tafuta mtu ako na less knowledge in maths coz utaenda hasara mbaya plus pia knowledge kwa products unauza na prices.
3.trustworthy ya huyo msee anafai kua honest kwa bizna.
4.other personal qualities kama bile hygiene kama ni place ya fruits etc na pia tolerance yake kwa watu.
What arenother tips one need tuconsider..tuchapiane kwa comments 👇
0
0
0